Supervision
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 265
- 203
Ndugu wanaJF habarini.Binafsi nimefurahishwa na vigezo vya TCU,kwan elimu ilianza kuwa biashara na watu kusahau vigezo na ilifika mahali hata mwenye four ya 32 anaingia kusoma shahada.
Hali ya kwenda chuo kikuu kama unaingia kwa mguu ilikuwa inashusha taaluma na kupelekea kuchukua watu wasiofaa.
Tatizo hili lilikuwa linairudia nchi baadaye kwanj wasomi wa chuo kikuu walikuwa wanazalishwa wengi kuliko elimu ya kati.Watu wakawa wanaona diploma si elimu hata ile elimu ya cheti haifai.
Sasa hiyo ni hatari kama taifa linakuwa na wasomi wengi wa degree kuliko elimu ya kati ni hatari kubwa,katika nchi nyingi zilizoendelea wasomi wa elimu ya kati wanatakiwa wawe wengi kuliko elimu ya juu.
Haiwezi ikawa nu rahisi kusoma elimu ya chuo kikuu kuliko ile ya kati hilo ni tatizo.Now,watoto watasoma kwani wanajua hali ilivyo,siyo lazima wote waingie chuo kikuu tuna vyuo vta diploma ns hata vile vikuu hutoa diploma,watu wasome huko pia kwani waalimu hasa wasayansi hawatoshi,manesi na wataalamu wa kilimo,siyo mtu anakimbilia chuo kikuu ana maliza lakini uwezo wake ni bora ya yule wa diploma hata vyuo viangaliwe upya jinsi vinsvyopika wataalamu maana maofisini kuna mengi ya ajabuajabu.Tuboreshe vya kwetu