Hivi kwanini kina mama wakitaka kuonesha kuafiki jambo na kulifurahia hupiga vigele vele, yaani luluuuuuu, au kili lililiiiii, kina baba wana either watapiga makofi au miluzi.
Sijawahi kuona mwanaume akipiga vigele gele au mwanamke kupiga miluzi.
Kuna uhusiano wowote wa vitendo hivi na jinsia??
Wadau inakuaje hapo.