luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,788
wewe si mikono itatoka ngozi? Hivi nafuta ya moto unayajua ww??Aviloanishe kwenye mafuta ya moto
wewe si mikono itatoka ngozi? Hivi nafuta ya moto unayajua ww??Aviloanishe kwenye mafuta ya moto
Indeed!Childish
wewe si mikono itaungua ngozi itoke mdada wa watu na makovu?mafuta ya motooo??Aviloanishe kwenye mafuta ya moto
Wewe unamshaurije? Ngozi ya juu ngumu ikitoka itabaki laini bhanawewe si mikono itaungua ngozi itoke mdada wa watu na makovu?mafuta ya motooo??

ha ha ha haaaasubiri nirudi nyumbani nimfotoe
ha ha haaaaamafuta ya kupikia au mafuta ya taa
ha ha haaaa,we jamaaa hapana ...daaaakwingine ni mtelezo tu
Anasumbua akili zetu bhanahahahahahahahah daah umeuwa..si kwa ushauri huui
apake samli mbichi.(mafuta ya ng'ombe)Wewe unamshaurije? Ngozi ya juu ngumu ikitoka itabaki laini bhana![]()
![]()