Hapa ni Tegeta kwa Ndevu, hii ni barabara ya kuelekea Chuo cha Mzumbe, sasa hii barabara ilianza kufanyiwa marekebisho tangu Mwaka jana (2025) Mwezi wa Tisa lakini ilipofika Disemba kuelekea Januari 2026 wakamwaga vifusi na tangu hapo hakuna kinachoendelea hadi leo Machi 2026.