Vifurushi vya Makampuni ya Simu ni Wizi Mtupu

Vifurushi vya Makampuni ya Simu ni Wizi Mtupu

Shida ya watu wengi hawazikagui zile menu vizur mana kuna vifurushi ambavyo havina expireration time... hata kama umetingwa ba kazi zako utakitumia hata kesho kutwa
 
Kwani kabla hujajounga si wanakwambia kabisa kifurushi chako kitaisha lini?na unakubali wewe mwenyewe ndio unajiunga.sasa hapo wizi uko wapi?Acha kulalamika mambo ambayo hayana msingi mkuu.jifunze kusoma mkataba vizuri kabla huja-sign sio unakurupuka tu.
Mleta post elewa kinacholalamikiwa.

Mfano unajiunga na kifurushi cha masaa 24 muda huu wa saa 11 jioni, inakuwaje basi kesho asubuhi unapoamka ukute meseji ya kifurushi chako kimekwisha, wakati masaa 24 yanaisha kesho saa 11 jioni?

Unless haya makampuni ya simu yatwambie yanatumia mahesabu mengine ya kuhesabu masaa, tofauti kabisa na yale tuliyofundishwa sisi wengine wakati tulipokuwa tunasoma shule za primary!

Na hizo hesabu za 'mazingaombwe' zipo zaidi kampuni za Voda na Tigo.
 
Vodacom ni mtandao wa wezi kabisaa,mafisadi wakubwa bora laini yao imeenda na mafuriko hawanipati tena

Mie mwenyewe nilinunua smartphone inayotumia MicroCard nikaenda kukata hii line jamaa kaikata vibaya huwezi amini kuanzia nilitoka voda na hawataniona tena jamani eheee dawa yake ndogo sana voda hebu TUHAMIE WOTE AIRTEL yaani hawa jamaa nimewakubali.
waacheni voda na Mpesa tu kwenye voice airtime na data bundles ni vimeo wamefeli
 
Kwani kabla hujajounga si wanakwambia kabisa kifurushi chako kitaisha lini?na unakubali wewe mwenyewe ndio unajiunga.sasa hapo wizi uko wapi?Acha kulalamika mambo ambayo hayana msingi mkuu.jifunze kusoma mkataba vizuri kabla huja-sign sio unakurupuka tu.

Hiyo messager unayo tumiwa namtandao hasa Voda inakua na masaa kabisa yamuda kwa kifurushi chako kitaisha muda flani tarehe flani lakini cha ajabu kabla ya muda unatumiwa messager kua kifrushi chako kimeisha sasa unachobisha ninini?au wewe ndo unajua zaidi kuliko sisi:what:
 
Mkuu kwa saruti,kuna mtantao wa Vodacom nimajanga unapojiunga na vifurushi kuna ambavyo wanadai nivifurushi vya masaa 24 bila kikomo ukijiunga unaletewa messager kifurushi chako kimeisha kabla yahayo masaa 24 mihuwa najiuliza haoyo masaa 24 bila kikomo maana yake ninini?au mimi ndo sijui kiswahili au wenza mnaelewaje maana ya bila kikomo:what:
wanakupa ie dak 13 kwa saa 24. ukiongea mara moja kwa dakika 3 message inakuja kifurushi kalas. Wizi wizi wizi ndio vodacom.
 
Nadhani tuwaulize wahusika yaani wenye dhamana (mawaziri) wahusika mimi ninaanza na naibu waziri aliekwenye mbio za kuusaka urais ikiwa kutusaidia tu juu ya jambo hili linalohusu idara moja tu kwenye majukumu yake ameshindwa kutusaidia je ataweza majukumu ya kuongoza nchi kweli.... acha utani naibu waziri umechemka.
 
Hivi kama usipojiunga kifurushi kwa buku nitapiga dk ngapi? ninahisi hii mitandao inawwza kutuibia vizuri zaidi kwa kutumia vifurushi...
 
vodacom wezi namba moja,inawezekana wenye kufaidi keki taifa ndo limtandao lao wanamiliki.TCRA wao na cyber crime tu.huku wananchi tunateseka
 
Yaani nikiambiwa jambo lolote baya kuhusu makampun ya cm nitaamini kwa sabb wizi wao uko peupe cjui ndio serikali inahucka kutudidimiza ?????
 
zantel wameniibia asb hii / wanakushawishi ujiung3 kwa *149*09# kitakachotokea mhhh!
 
Back
Top Bottom