Vifungashio vya nyama ya kuku

A man with no name

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2017
Posts
1,131
Reaction score
1,598
Habari wanajamvi naitaji kwa mwenye vifungashio vya huhifazia nyama ya kuku
Aniambie anauzaje kifungashio kimoja na label pamoja na design atanifanyia kwa shilingi ngapi
Mimi nipo Moshi naomba kama kuna anaeweza anifahamishe
Asanteni na karibuni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: amu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…