Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,583
Lowasa ndio mtu wa kwanza kutoa pole.
Hayo utauliza weweNi faraja kwa wafiwa ktk kipindi hiki kigumu. Wapo Mapoyoyo wataleta hoja baadaye eti kwanini Rais hajaenda msibani?
Kwani ni mashindanoLowasa ndio mtu wa kwanza kutoa pole.
Inasaidia Nini Lowassa ni Mtu baki tuu kama wewe ambaye umetoa pole Taangu Saa nne asubuhi si Rais. Rais Ni Dr John Pombe Magufuli na Ana Kazi nyingi na Taarifa zake lazima ziwe official na Zinaandaliwa.Lowasa ndio mtu wa kwanza kutoa pole.
Kwani ni mashindanoLowasa ndio mtu wa kwanza kutoa pole.
Calm down.Hayo utauliza wewe
Lowasa mtu wa watuInasaidia Nini Lowassa ni Mtu baki tuu kama wewe ambaye umetoa pole Taangu Saa nne asubuhi si Rais. Rais Ni Dr John Pombe Magufuli na Ana Kazi nyingi na Taarifa zake lazima ziwe official na Zinaandaliwa.
We kijana wewe,ulitakaje?Angalau
Nani Mtu wa Wanyama? Acha Mbowe Darasa la 7 awaongoze kwa Akili hizi!Lowasa mtu wa watu
haya tumpigie makofiLowasa ndio mtu wa kwanza kutoa pole.
Mungu ampe maisha marefu mh lowasa ili tuzidi kuchota busara kutoka kwake.Nani Mtu wa Wanyama? Acha Mbowe Darasa la 7 awaongoze kwa Akili hizi!
Kwani pole ya Rais inasaidia nini? Sometimes acheni mambo yà kijinga hata kwenye matatizo. Hakuna pole yenye thamani zaidi ya nyingine. Ni roho za kishetani tu zinawaongoza.Inasaidia Nini Lowassa ni Mtu baki tuu kama wewe ambaye umetoa pole Taangu Saa nne asubuhi si Rais. Rais Ni Dr John Pombe Magufuli na Ana Kazi nyingi na Taarifa zake lazima ziwe official na Zinaandaliwa.
Lowassa Lazima Awe wa Kwanza kwani yeye anashinda na Remote ya TV sebuleni Kwake na Simu ya Mkononi.