Vifo vya ukimwi Tanzania

Vifo vya ukimwi Tanzania

Mzee2000

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2009
Posts
528
Reaction score
221
Naomba mnisaidie mnaojua,

Je ukimwi ndio ugonjwa unaoua zaidi kuliko magonjwa yote Tanzania ?Kama sio ni ugonjwa gani unaoua wengi zaidi kwa sasa?

Je serikari kweli inakusanya takwimu za wanaukufa kwa ukimwi au wengi wanaokufa wanarekodiwa wamekufa na complications nyingine i.e TB?

Je kweli dawa za kurefusha maisha zimesaidia? mimi machale yangu ni kwamba hizi dawa zimesaidia wachache na inaeleke kasi ya ngoma hasa kuwamaliza watu inaongezeka, but I may be wrong.
 
ninavyosikia kutokana na takwimu ugonjwa unaoua zaidi ni malaria.....ni ngumu kwa serikali kurekodi kila mmoja coz wengine wapo vijijini na hawahudhurii hospitali kutokana na kutokuwa na elimu ya ugonjwa huo....ninavyoamini kuhusu ARVs ni kuwa...kama utafuata masharti na utaratibu wa kuzitumia utaishi kwa muda mrefu japo zina side effects za hapa na pale.....unashauriwa kupima ili kujua status yako
 
Ukimwi hauui bali kusababisha upungufu wa kinga ya mwili - Hilo likitokea ndipo magonjwa mengine humshambulia mtu kwa urahisi.
 
Back
Top Bottom