Vifo JKT vyaongezeka

laut

Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
28
Reaction score
4
Watoto wanaokufa JKT serikali inalijua hilo? Nenda kashuhudie makambi ya Tabora,Tanga nk.Hivi watoto hao walipotoka Form six walipimwa afya kwanza kabla ya kwenda JKT? Sasa haya ona sasa wanakufa.
 
Watoto wanaokufa JKT serikali inalijua hilo? Nenda kashuhudie makambi ya Tabora,Tanga nk.Hivi watoto hao walipotoka Form six walipimwa afya kwanza kabla ya kwenda JKT? Sasa haya ona sasa wanakufa.
- Idadi ya vifo imefikia kiasi gani???
- Wanapewa mazoezi makali kupitiliza au???
- Taarifa za wakuu wa kambi zinasemaje???
- au ndo hivyo ajari kazini.
 
Watoto wanaokufa JKT serikali
inalijua hilo? Nenda kashuhudie makambi ya Tabora,Tanga nk.Hivi watoto
hao walipotoka Form six walipimwa afya kwanza kabla ya kwenda JKT? Sasa
haya ona sasa wanakufa.
wanapimwa tena mara mbili, ngazi ya wilaya na mkoa. labda kama walipita njia pembeni.
 
Taarifa haijitoshelezi hivyo basi: Nachukulia kama UDAKU!!
 
Watoto wanaokufa JKT serikali inalijua hilo? Nenda kashuhudie makambi ya Tabora,Tanga nk.Hivi watoto hao walipotoka Form six walipimwa afya kwanza kabla ya kwenda JKT? Sasa haya ona sasa wanakufa.

Mkuu naomba utulie ili utupe taarifa iliyokamilika,naona una mshtuko kidogo juu ya hivyo vifo
 
wamekufa wangapi na wapi? Wamekufaje? Wameugua, wamekufa ghafla, au wamepata ajali? Toa taarika kamili acha kupayuka
 
Weka data habari haijajitoleza ina mapunguza .haionyeshi tanga ni wangapi na makambi mengine
 
Leo Tabora peke yake tena nasiki wameaga maiti mbili.
 
wanapimwa tena mara mbili, ngazi ya wilaya na mkoa. labda kama walipita njia pembeni.

wanafunzi waliotoka form six mwaka 2013 na kwenda Jkt walipimwa afya lini? Kwa hali hiyo tusishangae kusikia watoto wanakufa.Lakini je nani wa kulaumiwa?
 
Hizi ni proopaganda za chadema za kufanya watu wasipende JKT.

Chadema kila jambo zuri linaloanzishwa lazima walifanyie fitina ili lisifanikiwe.

Msikubali kulaghaiwa na hawa walafi wenye uroho wa madaraka. Wako radhi kuiharibu nchi ili wapate madaraka tu.

Kabla hamjalaghaika jiulizeni, hao watu wanaokufa na kuagwa miili yao inaenda mwezini? kwanini hakuna ndugu aliyefiwa huku uraiani?

Ninamshauri Maj. Gen. Muhuga akae chini viongozi wa chadema kiutu uzima awaambie kuwa huu upuuzi wa kutunga propaganda za kijinga juu ya kozi za JKT haufai.

Iwapo hawatasikia basi nashauri jeshi lifanye "jambo linalostahili" kwa maslahi ya wengi.
 
nyamaza tu cz leo hii anazikwa classmate wangu amefia huko. Hapa ishu c chadema but kukurupuka kutagharim maisha ya wengi. R.I.P bro!
 
Watoto wanaokufa JKT serikali inalijua hilo? Nenda kashuhudie makambi ya Tabora,Tanga nk.Hivi watoto hao walipotoka Form six walipimwa afya kwanza kabla ya kwenda JKT? Sasa haya ona sasa wanakufa.

can you explain more?
 
ze marcopolo ukilala unawaza CDM, ukiamkia unaiwaza, maana comments zako wewe lazima uitaje CDM. pole sana, sasa kwa hili CDM imekataa vipi watu kujiunga na jkt? sema tu unapoamua kuingia jeshi unakabidhi na roho yako.
 
Chamsingi mchakachaka ungerudishwa mashuleni ili kuandaa wanafunzi kwaajili ya jeshi. Cjui nani huwa anaishauri serikali. Michezo nayo ingesisitizwa kuwaweka watoto vizuri kiafya.
 
Watoto wanaokufa JKT serikali inalijua hilo? Nenda kashuhudie makambi ya Tabora,Tanga nk.Hivi watoto hao walipotoka Form six walipimwa afya kwanza kabla ya kwenda JKT? Sasa haya ona sasa wanakufa.

Toa taarifa iliyojitosheleza bwana mkubwa.
 
kuna sehemu mtoa mada kajiita yeye ni chadema?
kila anaekosoa kitu ni chadema?
think beyond your eyes,
nenda lumumba kachukue mshiko nakujua ww ni mpiga debe wa siku zote hapa jukwaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…