Wewe inabidi jeshi likutafute kwa kurusha habari zao humu..
Waa gwaan bwattyboy.....kichwa maji...
kawaida mkuu,juzi usiku pia nilipishana na vifaru 4 na APCs 4 pale Ubungo vikienda mjini, ukiona hivyo ujue vijana wapo kuilinda nchi!.
VIFARU vya jeshi zaidi ya kumi vinasafirishwa muda huu, kutokea uwanja ndege wa Dar, kupitia barabara ya Nyerere kuelekea katikati ya jiji...
Vimeonyesha kuwashitua na kuwashangaza asilimia kubwa ya wananchi.

Wanalinda nchi ipi? Hao wanalinda viongozi na baadhi ya rasilimali za nchi
inawezekana we ni mgeni kidogo wa dar na kambi mbalimbali zilizopo na mambo mengine si yakumwaga hapa. Ila nilichomaanisha ukiona activity zozote za vijana na kama haujatangaziwa shida yoyote,jua wapo na wapo macho!So funny!!! Vifaru vinalinda mjini kwani kuna civil war?
Unamtazamo wa kizamani sana kuhusu upashanaji habari. Enzi hivi za digitali ni tafauti na Enzi zilee za mwalimu ambako kila kitu ni Siri na ukisema unawekwa kizuizini.kweli kuna watu sijui hamwezi kufikir? Hvi kuna umuhim gan wa kutoa taarifa kama hiz?? Kwan ww ni msemaji wa jeshi?? Unastahiri kufichwa na kufanyiwa mahojiano ili siku ningne ukome kubweka
Hivi ukiona ukakaa kimya roho itakutoka? Kama ulitaka iwe habari mbona hukupiga picha tuone kama kweli umeumia vifaru kusafirshwa mchana? ni kwanini JW wajifiche kwani wako ndani ya nchi ya nani? Mimi nakushauri siku nyingine ukiona hebu piga picha utuletee humu jamvini ili tuamini habari zako mi naona kama unadanganya vile, jitahidi sana uwapige picha mi nitakupongeza saaaanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
kawaida mkuu,juzi usiku pia nilipishana na vifaru 4 na APCs 4 pale Ubungo vikienda mjini, ukiona hivyo ujue vijana wapo kuilinda nchi!.
kweli kuna watu sijui hamwezi kufikir? Hvi kuna umuhim gan wa kutoa taarifa kama hiz?? Kwan ww ni msemaji wa jeshi?? Unastahiri kufichwa na kufanyiwa mahojiano ili siku ningne ukome kubweka