VIFARANGA WA SAMAKI (Tilapia)

VIFARANGA WA SAMAKI (Tilapia)

Natafuta vifaranga vya samaki Sato (sijui nd'o Tilapia?!)
Nahitaji wachache tu.
Niko Dar.
Nani anaweza kuniuzia?
Kifaranga mmoja ni bei gani?

Kuna jamaa wanawafuga kule chanika. Mi pia nafuga lakini vifaranga wanazalisha...
 
Ndugu pole kwa kutopata majibu sahihi kwa wakati. Mimi najua mtu anayefuga na kuzalisha vifaranga vya samaki kule Kibamba ndani kidogo. Kila kifaranga ni shs.200/= Pia wanatoa ushauri bure wa namna ya kuandaa bwawa na kufuga samaki. Tafuta jamaa anaitwas Fred kwa namba 0717537070
 
vifaranga vyao sio vzr
 
unaweza kutoa maelezo zaidi?

Asilimia 95 ya wakulima waliochukua vifaranga kwao wamekuwa wakilalamika hivyo. Hali ni hivyo pia kwa wakulima niliowatembelea mimi. Sababu kubwa hatujajua lakini inawezekana zikawa za kibailojia zaidi. Karibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom