VIFARANGA WA SAMAKI (Tilapia)

VIFARANGA WA SAMAKI (Tilapia)

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
571
Reaction score
156
Natafuta vifaranga vya samaki Sato (sijui nd'o Tilapia?!)
Nahitaji wachache tu.
Niko Dar.
Nani anaweza kuniuzia?
Kifaranga mmoja ni bei gani?
 
Tilapia ni sangara sio sato, rekebisha thread yako, halafu kama unahitaji kuzalisha hao fikiria kununua samaki wakubwa walio tayari kutaga mayai hapo utaweza kupata kiasi kikubwa kwa bei nafuu na muda mfupi
 
Kuna kipindi mambo ya JF yanakera hadi unaamua kukaa pembeni. Ila kuna mada ukipitia unaona umuhimu wa kuzisoma.
Hii ni miongoni mwa hizo mada zinazojenga na kuelimisha ili kuleta ukombozi.

Nadhani CHE GUEVARA-II ungeomba kupata utaalamu wa ufugaji wa samaki wa aina ya Sato ili kupata maelekezo ya kina ya kukusaidia na wengine tunufaike. Natamani sana kufuga samaki na kufanya huu mradi kibiashara ila pa kuanzia kupata habari sahihi ndio tatizo.

Wadau wenye uelewa kwenye hili eneo watusaidie......
 
Huyu nimemtumia PM kwamba nitampataje lakini bado hajajibu lolote.
WaTz tukoje?
Mbona hatuko serious katika vitu tunavyofanya/ tunavyoanzisha?

mkuu nimeshindwa kukujibu sababu nilikua mbali na access ya net
wadogo wameisha mbaya zaid wamebaki wa kuzaa na wakubwa sana mmoja anazaa hadi 1000 sasa nikikuuzia hao utapata taabu ya kuwasilisha nilitaka nikuuzie wale wa sio zaa yaani wakiwa kumi wanabaki kumi na limitation yao hivyo inakua rahisi kuwalisha na kuwahudumi
naenda mwanza hivi karibuni kuchukua wale waso zaa kwani nina orda nyingi sana
 
Mkuu usimhukumu. Network siku hizi majanga pengine anashindwa kupost.
 
mkuu nimeshindwa kukujibu sababu nilikua mbali na access ya net
wadogo wameisha mbaya zaid wamebaki wa kuzaa na wakubwa sana mmoja anazaa hadi 1000 sasa nikikuuzia hao utapata taabu ya kuwasilisha nilitaka nikuuzie wale wa sio zaa yaani wakiwa kumi wanabaki kumi na limitation yao hivyo inakua rahisi kuwalisha na kuwahudumi
naenda mwanza hivi karibuni kuchukua wale waso zaa kwani nina orda nyingi sana

Una vifaranga vya dagaa?
 
Niuzie hao wanaozaa.
Nitakupataje leo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom