FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,412
- 41,342
Ujinga Tanzania
Kweli kabisa hakuna nyama ya kifaranga. Nadhani kama wangekuwa ni kuku wakubwa sidhani kama wangefanya hivyo wangejigawia wenyewe wakashibishe matumbo yao na familia zaoUnaita watu humu wapuuzi au wewe ndiyo mpuuzi, uliona wapi kuna nyama ya kifaranga cha kuku, acha hizo kujifanya mjuaji kumbe huna kitu kichwani
lack of compassion for animals and the planet, killing of animals like that is not something to be acceptable in anyway...
kila siku tunalalamika matatizo kumbe tunayatengeneza wenyewe, We cant be serious, 6000 living beings dying on fire surely their soul will hunt us forever...and the same people you will find them in worship house praying for GOD,
Really painful,
Vegan
Wamewateketeza wakiwa hai?? Hapana aiseee, huu ni unyama uliopitiliza
Umeshasema "Mbele" hapa hawakuwa wagonjwaMleta uzii tembea uone,huku "mbele" niliwahi kushuhudia shamba lenye kuku zaidi ya 12,000 na vifaranga 6,000 lilipigwa moto 2012 kwa ajili ya kuzuia kusambaa kwa mafua ya ndege.
Sisi wenye maono inaonyesha kwamba nchi imevamiwa na mapepo; maombii na kufunga vinahitajika sana maana mapepo chakula chao ni damu za watu na hata hivi viumbe hài. Mapepo hayana huruma yanapenda kuangamiza tu.
Wizara ya Mifugo kwa kushirikiana na vyombo vya Ulinzi na Usalama mkoani Arusha, imeteketeza kwa moto vifaranga vya kuku wa kisasa 6,400 wenye thamani ya shilingi milioni 12, wanaodaiwa kuingizwa nchini kutoka Kenya kupitia mpaka wa Namanga kinyume na sheria. Vifaranga vilivyoingizwa nchini kinyemela kuteketezwa
My take
Hizi si akili za kawaida hakika, na huenda nchi hii hupata laana kutokana na baadhi ya viongozi kama hawa. Unachoma kifaranga kwa maana gani? Hii siyo haki kabisa na ni ukatili kwa kiumbe hai kisichokuwa na hatia wala utambuzi.