Kwa faida yako sio unamwangalia kova alafu ujui yeye ni mtu wa ngapi kutoka kwenye renk za juu.
View attachment 91476
Inspekta Jenerali wa Polisi(IGP)
Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi(DIGP)
Kamishina wa Polisi(CP)
Naibu Kamishina wa Polisi(DCP)
Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP)
Kamishina Msaidizi wa Polisi(ACP)
Mrakibu Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SSP)
Mrakibu wa Polisi(SP)
Mrakibu Msaidizi wa Polisi(ASP)
Mkaguzi wa Polisi(Insp)
Mkaguzi Msaidizi wa Polisi(A/Insp)
Sajini Meja wa polisi(rsm)
Stesheni Sajini wa Polisi(s/sgt)
Sajini wa Polisi(sgt)
Koplo wa Polisi(cpl)
Konstebo wa Polisi(pc)
Kama ni jeshi la polisi la Tanzania, basi angalia wikipedia, kwenye ukurasa wa police rank in UK, maana sisi ndio tumerithi uko.Kwa anayefahamu naomba msaada wa kujua ngazi ya vyeo vya polisi
Kwa mfano Inspekta ni yepi majukumu yake na anatambuliwa kwa nyota
au alama gani, Sajenti, Konstebo, Koplo n.k
Hapo umechanganya kidogo nadhani...Vipo vya kiutawala na vya kijeshi weye wataka vipi?.......mathalan IGP ni cha kiutawala wakati kijeshi ni kamishna wa polisi (CP)
Kijeshi
Commissioner of Police
Deputy Commissioner of Police
Senior Assistant Commissioner of Police
Assistant Commisisoner of Police
Senior Superintendent of Police
Superintendent of Police
Assistant Superintendent of Police
Inspector
Staff Sergeant
Sergeant
Corporal
Lance Corporal
Police Constable
Hapo umechanganya kidogo nadhani...
Ndata
Mwera
Kuruta
Njagu
TiGo
Nyigu
Afande Kidekeo
Mlinzi
Kachero Hadji
Ispekta Fogu
Mpelelezi
Usalama wa Taifa
Askari Kanzu
Fanya Fujo Uone
Naomba nielimishe hivi vyeo vya kiutawala zinakwendaje....maana kwingine nakuta OCD ndio mkuu wa kitua, na kwingine nakuta OCS etc.
Kwa Tanzania cheo cha juu ni IGP, Akifuatiwa na Makamishina, Halafu kuna madeputies. Then kuna Senior Assistant Commisiners.
Sawa lakini pia utegemeana na hadhi ya Kituo/Wilaya.Hapana shem,
Senior Superintendent of Police (SSP) hawa mara nyingi huwa ni OCDs,OCD/CIDs na nadra huwa RPCs
Superintendent of Police(SP)hawa mara nyingi huwa ni OCDs,OCD/CIDs
Assistant Superintendent of Police(ASP)hawa mara nyingi huwa ni OCSs
Mkuu namjibu hapo kwenye nyekundu,Kwa anayefahamu naomba msaada wa kujua ngazi ya vyeo vya polisi
Kwa mfano Inspekta ni yepi majukumu yake na anatambuliwa kwa nyota
au alama gani, Sajenti, Konstebo, Koplo n.k
Kuna Ngazi na majukumu, kwanza unapanda ngazi halafu unapewa majukumu kulingana na ngazi uliyonayo.Unachnaganya.......hebu soma thread toka mwanzo....IGP,RPC,OCD na OCS ni vyeo vya kiutawala
Camaraderie ameruka assistant inspector. Vinginevyo yupo sahihi kabisa.
Ni kweli ila cheo cha lens Corporal Hakuna Polisi. Halafu kuna RSM zamani walikuwa masajenti meja, lakini kwa sasa anakuwa mmoja tu katika kikosi.Camaraderie ameruka assistant inspector. Vinginevyo yupo sahihi kabisa.
Ni kweli ila cheo cha lens Corporal Hakuna Polisi. Halafu kuna RSM zamani walikuwa masajenti meja, lakini kwa sasa anakuwa mmoja tu katika kikosi.