Ok poa nipm namba yako...huwa nafunga mzigo hapo!! Nikija nitakucheki!!Katoni 1 zinakaa kumi,kwa bei ya jumla 1@18,000 jumla itakuwa 180,000/= ila ukitaka moja nitakufanyia 20,000
hivi mkuu zile mita za zamani hakunaga tena maana kwenye nyumba zakupanga ni nzuri zinamfanya kila mtu alipe kutokana na anachotumia
asante hili swali nilikuuliza bila kusoma hapaView attachment 470508
Ukitaka kujua unatumia unit ngapi au mpangaji wako anatumia unit ngapi basi ufumbuzi ni separate meter,unaweza kumfungia kila mpangaji na yake ili kuepusha malalamiko fulani anatumia unit nyingi,bei Tsh 23,000/= tu.