Hamuka na wewe mbona bado humelala!..hamuka uende kusali, huenda miujiza ikatendeka aaa
Hapa jirani kuna vijana wamekesha bar wanapiga makeleeleee duh, kila mtu na kilevi chakeHamuka na wewe mbona bado humelala!..
Asije akakuachia manyoyamimi imebidi nikamate bei kwa kuwekeza kwenye maduka zikipanda haziniathiri..... mana nimempa uhuru mwenye duka kutumia hela zangu kwa faida yake.
Na tozo zimeingia hadi miamala ya kibenki. Yani hata kuuchomoa mshahara wako ambao tayari ulishalambwa kodi nako unakatwa tozo za kiwizi.. wanachojua ku'perfect ni kutuchomoa hela tuNimekosa usingizi yaani nondo mm 12 ilikuwa 20 jana nimekwenda kuulizia lengo ni maandalizi ya ujenzi naambiwa ni elfu 26, hivi kweli tutajenga kwa namna hii material ya ujenzi kupanda Bei? Aisee mambo ni magumu mnoo zaidi tunavyochukulia, mishahara iko pale pale haijapanda lakini vitu bei juu.
mimi imebidi nikamate bei kwa kuwekeza kwenye maduka zikipanda haziniathiri..... mana nimempa uhuru mwenye duka kutumia hela zangu kwa faida yake.
Halafu alale njeWewe unahangaika na kujenga hapa duniani ni kwako ....
Duniani tunapita bwana ,.....
Kula bia ...
Asikwambie mtu tu tu tu bia tamu ....