Habari wana jamvi,
napenda kuwatangazia soko la vifaa vya stationery ambayo nimeifunga muda si mrefu
kuna lamination machine, binding machine, photocopy machine(inahitaji matengenezo kidogo),
na vifaa vinginevyo vingi..kwa mwenye interest tafadhali ni PM..tuelewane kibiashara/tuendelee na taratibu nyingine.