Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 589
- 278
Nahitaji vifaa vya saluni ya kiume nipo mwanza geita, vifaa vifuatavyo:
1. Viti vitatu vya kunyolea
2. Sofa/kiti cha wateja kusubiri
3. Mashine 3 za kunyolea
4. Vioo vikubwa vya ukutani
5. Kabati dogo na shelf
Na kadhalika.
Cheers!
1. Viti vitatu vya kunyolea
2. Sofa/kiti cha wateja kusubiri
3. Mashine 3 za kunyolea
4. Vioo vikubwa vya ukutani
5. Kabati dogo na shelf
Na kadhalika.
Cheers!