Vifaa vya magari vinapatikana mtandao gani hapa nchini?

Mkuu hujasomeka bado wahitaji nn hapo?? chip inayokuwa na data za immobilizer??

au ile saketi ya remote?? kwaajili ya kulock na ku unlock??

Nahitaji ile saketi ya remote kwaajili ya kulock na ku unlock ndugu. Haina immobilizer.
 
Nahitaji ile saketi ya remote kwaajili ya kulock na ku unlock ndugu. Haina immobilizer.
hapo mkuu nikununua ufunguo mwingine mpyaaa then unaamua kuitoa hiyo saketi na kuihamishia kwenye funguo yako au unauchukua huo ufunguo mpyaa na kuuchongea meno na kuutumia kama ulivyo .lakini hapo lazima ujue kuwa lazima ufanye kazi ya kuprogram hiyo remot ili iweze kufanya kazi. zipo njia mbili manually au kwa kutumia diagnosis machiney.

naomba unikumbushe mkuu gari yako ni aina gani?? then fanya uni PM mawasiliano yako
 
Wauza spear naona ingekuwa vyema mweke namba zenu humu ili tuwapigie kuliko kufatana PM . mie nimepost lakini sijajibiwa na yeyote.
 
Nahitaji half cut ya 1999 Progress. Pia nahitaji immobilizer key ya 2004 Harrier.
 
Kuna mwenye uzoefu na mazda demio generation, 2 ya 2005, napenda kujua uimara wake hapa bongo na upatikanaji wa vifaa. Pia gharama zake kuitoa bandarini.
 
Kamtu33 au yeyote humu aliye na rear propeller shaft ya Suzuki Jimmy JB23W
 
Mkuu kama bado unahitaji hiyo engine na stealing rack ni PM
1461386806541.jpg
1461386819426.jpg
 
VW Passat wagon, model 2001. Natafuta Kioo kikubwa cha mbele (Windscreen) na kio cha mlango wa abiria wa nyuma.
 
Back
Top Bottom