Vifaa vya maabara ndogo kwa wajasiriamali

Vifaa vya maabara ndogo kwa wajasiriamali

Loafer tanzania

Senior Member
Joined
Apr 28, 2017
Posts
162
Reaction score
184
Leo nmewaletea vifaa kwa ajili ya kupima bidhaa mbali mbali wakati wa usindikaji.
Vipo vya aina mbili:

1. Yenye range 0-32 degree. Hichi kinaweza kupima kiwango cha sukari/ uzito kwenye juisi, tomato sosi, chill sosi.
Upimaji huu utasaidia kuhakikisha unatengeneza juice, tomato sosi au chilli sosi yenye kuwango au ubora unaofanana wakati wote na kuepukana na kuonja onja kwa mdomo.

2. Yenye range 50-92 hii inafaa zaidi kwenye utengenezaji wa asali na jam. Jam inatakiwa kuwa na brix range minimum 65 so kifaa hichi kinafaa zaidi. Kifaa hichi pia kina uwezo wa kupima kiwango cha unyevunyevu kilichopo kwenye asali hii itasaidia kucontrol ubora wa asali yako wakati wote hasa wakati wa kupokea na kufungasha na kukusaidia kutokupokea asali iliyochakachuliwa na maji hasa wakati unaipokea kutoka kwa wakulima.

IMG_20180206_070459.jpg
IMG_20180206_070651.jpg


Bei ni maelewano baina ya mnunuaji na muuzaji. Karibu.

IMG_20180206_080428.JPG
 
Hivi Tanzania tunaruhusu mtu kuwa na Private Research Laboratories!!?..
 
Back
Top Bottom