Vifaa vya kilimo Vs madini

changman

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
229
90
Habari wandugu.

Nasikia kwamba katika kuhamasisha kilimo bongo, wakati wa kuingiza vifaa vya killimo nchini hulipii kodi bandarini. Hii pia iko kwenye vifaa vya madini? mfano wash plants n.k
 
Nani kakudanganya? Ingia kwenye website ya TRA kuna utaratibu wote utajua huko inakuwa kuwa je

Back
Top Bottom