Vifaa vya kijeshi vya Kimarekani

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,540
Hawa jamaa kuwafikia ni safari.

Wenyewe wanasema haijawahi kutokea jeshi lenye nguvu duniani kama la Marekani katika history ya dunia

Yametokea majeshi mengi sana ktk historia ya dunia kama waajemi, waamedi, warumi, wamisri, lakini jeshi la USA ndo jeshi lenye nguvu katika historia ya dunia.

Ni kweli check hilo dude hapo

 
Hujui historia wewe. Marekani hawezi kupigana pekee yake. Taja vita kimoja Marekani kapigana pekee yake? Vietnam umeona walivyokimbia. Soma Quran utajua historia ya dunia usisome vitabu vya wazungu watakupotosha. Wazungu ndio waliosema wewe chimbuko lako nyani. Biology ya wazungu hio
 

US anapigana vita kwa kutumia akili sheikh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…