UMHM WA RIBITI KWENYE GARI
ANGALIA VIDEO HII JINSI WANAVYOIBA KILA KIFAA CHA KWENYE GARI
Niliibiwa side mirror juzi kati nimechoka ndani ya muda mfupi wameshaiba side mirror zote mbili gari aina ya IST
KUMBE WANAJIFUNZA HUKU KWENYE MITANDAO
Tutafanyaje wezi wasituiibie vifaa vya kwenye magari jamani. Juzi wameiba side mirror zangu zote. Ndani ya muda mfupi tuu[/QUOTE}
Pole sana, inauma Ndugu nikupe dozi moja hataree... ikimpata mwizi huyo inapelekesha kuugua akili (kichaa/mwehu/uenda wazimu) ??
Tutafanyaje wezi wasituiibie vifaa vya kwenye magari jamani. Juzi wameiba side mirror zangu zote. Ndani ya muda mfupi tuu
Mi nashauri ufunge alarm. Si mbaya kama umepiga ribit weka na alarm. Mara nyingi huwa wanapata wakati mgumu kwenye gari zenye alarm.
Hata Ufunge Alarm Wataiba 2 Inabidi 2uwe Mtandao Wao Na Gari Kama Ist Escudo Nk Ndio ZinazoibiwaMi nashauri ufunge alarm. Si mbaya kama umepiga ribit weka na alarm. Mara nyingi huwa wanapata wakati mgumu kwenye gari zenye alarm.
Dawa yao ni Bastola basi, unavunja mguu inatosha anaenda kuwaambia wenzakeHata Ufunge Alarm Wataiba 2 Inabidi 2uwe Mtandao Wao Na Gari Kama Ist Escudo Nk Ndio Zinazoibiwa
Wanaiba side mirrors huku unaendesha kwenye foleni alarm inasaidia kwa kiasi kidogo
Mi nashauri ufunge alarm. Si mbaya kama umepiga ribit weka na alarm. Mara nyingi huwa wanapata wakati mgumu kwenye gari zenye alarm.