Tanganyika50
Member
- Dec 8, 2011
- 97
- 19
Wadau,
Ninauza vifaa kadhaa vya kuanzishia au kuendeshea biashara ya car wash kama ifuatavyo:
Muhitaji wasiliana nami kwa ku ni inbox.
Ninauza vifaa kadhaa vya kuanzishia au kuendeshea biashara ya car wash kama ifuatavyo:
- Presher washer aina Portatechnica yenye pressure guns mbili-Condition almost new-Bei 800,000/=
- Wet and Dry Sansui Vacuum cleaner - Specs:14L Container,motor 100% copper,2000W Condition brand new - Bei 600,000/=
- Air compressor Make:Jonway,Specs:16 BAR/240 psi - Condition almost new - Bei 550,000/=
Muhitaji wasiliana nami kwa ku ni inbox.