Affet
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,189
- 1,663
Habari bandugu,nina car washer naiuza 600,000 ,blower naiuza 250,000 na compressor ya lita 50 naiuza 300,000 nilikuwa na car wash sehemu baada ya kuletewa mazonge na wafanyakazi nikaifunga vifaa vipo tu ndani kwa maswali zaidi na anaehitaji tuwasiliane 0716 686118
0692 928 928
0692 928 928