Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,529 Reaction score 42,832 Feb 15, 2026 #21 Ukitaja bucha au kuchinjachinja namuwaza mwanamke mkuubwa.
hewizet JF-Expert Member Joined Mar 17, 2013 Posts 2,523 Reaction score 1,676 Feb 16, 2026 Thread starter #22 win-one said: bora tu aifunge maana location iliyopo hakuna mzunguko wa biashara kabisa,, alf anaingia gharama kubwa kulipia kodi plus umeme,,, ofisi naifaham ni miongoni mwa zile frame za Lugalo Click to expand... Jirani Lavit said: Shida nini? Location au vijana wanakuibia? Sema biashara zinataka uvumilivu sana Click to expand... Vijana hawakuiba apo kunataka online business sana kama mdau mmoja alivyosema
win-one said: bora tu aifunge maana location iliyopo hakuna mzunguko wa biashara kabisa,, alf anaingia gharama kubwa kulipia kodi plus umeme,,, ofisi naifaham ni miongoni mwa zile frame za Lugalo Click to expand... Jirani Lavit said: Shida nini? Location au vijana wanakuibia? Sema biashara zinataka uvumilivu sana Click to expand... Vijana hawakuiba apo kunataka online business sana kama mdau mmoja alivyosema
hewizet JF-Expert Member Joined Mar 17, 2013 Posts 2,523 Reaction score 1,676 Mar 3, 2026 Thread starter #23 Tumemaliza wakuu hii biashara
Endasak Masqaroda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 1,730 Reaction score 3,955 Mar 3, 2026 #24 Hii ofisi ilikua poa sana sana. Alijipanga. Pale Chamazi pana miss ofisi kali kama hii.
Saa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 6,553 Reaction score 12,999 Mar 4, 2026 #25 sheremaya said: Ofisi nzuri,mali nzuri kwanini unauza mkuu ungeacha vijana waendelee kupata ridhiki Click to expand... Hapo tatizo ni location
sheremaya said: Ofisi nzuri,mali nzuri kwanini unauza mkuu ungeacha vijana waendelee kupata ridhiki Click to expand... Hapo tatizo ni location