zakayoyoung Senior Member Joined Apr 9, 2019 Posts 140 Reaction score 39 Apr 24, 2019 #1 Wakuu nisaidieni kuhusu hili Natafuta maduka yanayouza PCB za kutengenezea circuit za amplifier yanapatikana wapi sana sana kwa singida wakuu nisaidieni asante
Wakuu nisaidieni kuhusu hili Natafuta maduka yanayouza PCB za kutengenezea circuit za amplifier yanapatikana wapi sana sana kwa singida wakuu nisaidieni asante
co fm JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 1,569 Reaction score 2,584 Apr 24, 2019 #2 Nenda Ubungo karibu na highway ya kwenda Udsm kuna duka linaitwa baflo au uliza hilo jina
johnhance JF-Expert Member Joined Jul 9, 2016 Posts 1,768 Reaction score 2,135 Apr 24, 2019 #3 co fm said: Nenda Ubungo karibu na highway ya kwenda Udsm kuna duka linaitwa baflo au uliza hilo jina Click to expand... Bafredo
co fm said: Nenda Ubungo karibu na highway ya kwenda Udsm kuna duka linaitwa baflo au uliza hilo jina Click to expand... Bafredo
zakayoyoung Senior Member Joined Apr 9, 2019 Posts 140 Reaction score 39 Apr 24, 2019 Thread starter #4 Laaa mi nipo naeneo ya singida mkuu vp kwa hapa mjini napata kweli?
zakayoyoung Senior Member Joined Apr 9, 2019 Posts 140 Reaction score 39 Apr 24, 2019 Thread starter #5 Kwa huku kwetu singida yapo kweli co fm said: Nenda Ubungo karibu na highway ya kwenda Udsm kuna duka linaitwa baflo au uliza hilo jina Click to expand...
Kwa huku kwetu singida yapo kweli co fm said: Nenda Ubungo karibu na highway ya kwenda Udsm kuna duka linaitwa baflo au uliza hilo jina Click to expand...
zakayoyoung Senior Member Joined Apr 9, 2019 Posts 140 Reaction score 39 Apr 25, 2019 Thread starter #6 zakayoyoung said: Kwa huku kwetu singida yapo kweli Click to expand... Poa poa mkuu