Ndio maana yake, na ndio sababu utakuta majibu yanakuwa haaaaa, tehetee tehe, umenivunja mbavu, umefanya siku yangu nzuri nk. hivyo usivunjike moyo. Halafu mara nyingi idadi ya viewers ambao sio members ni wengi kuliko members hivyo hawawezi ku-comment na wakati mwingine members hatumii PW yake kuingia kwenye mtandao huu. Nakubaliana na wewe replies zinatia moyo.....<br />
<br />
Mwisho tusikatishane moyo kwa wale wanaorudia post za zamani au ambao post zinafanana kwani ikishapita siku tatu ni vigumu kuanza kusoma post zote kutokana na muda. Lakini ni vizuri member akielezwa kwamba imeshatoka kwa njia ya kistaarabu badala ya kubeza au sio???<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/hand.gif" border="0" alt="" title="Hand" smilieid="195" class="inlineimg" />