Viettel acheni kutudharau Watanzania

Viettel acheni kutudharau Watanzania

mayowela

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,757
Hamthamini utu wa mtu,little sarary, many work,working under pressure and you dont appreciate what i do.kwa mfumo huo kufanikiwa itakuwa kazi hata kama mna mtaji wa matilioni,hata kama huna ajira thamini elimu uliyonayo mwamini mungu ipo siku utapata kazi kuliko kufanya kazi na hawa wavietnam,mtu anafiwa hamumpi ruhusa ya msiba eti mnataka atoe taarifa siku tatu kabla,(stupid), mshahara wenyewe mnaripa kama vibarua wakati watu wana elimu zao.mshahara laki4-tax 12%-insuarance10%=allowance ya mfanyakazi wa tigo,then hamjari utu wa mtu ndani ya nchi yake.Mpaka mwezi wa8 mliopanga kuoperate mtabaki nawasio jitambua na hizo probation zenu,after probation mnamtema mtu mnaajiri mwingine,mishahara mnatoa kama mkononi kama mmeajiri mafundi ujenzi(STUPID)
KAMA HAUTHAMINI GHARAMA YA ELIMU YAKO NENDA KAFANYE KAZI BUT USHAURI TRUST YOURSELF AND BE EXPENSIVE SOMETIMES.
 
Boss punguza jazba kwanza,, pile sana ila si nasikia huko mnatafuta uzoefu tu?? Pambaneni bna hayo ndio maisha ,, ila kwa swala la kumnyima ruhusa mtu mwenye msiba kweli sio swala zuri kabisa. Poleni sana ,,,
 
Hahahahahaa daaaaahhhh ni kweli mkuu kutafuta uzoefu
 
Hamthamini utu wa mtu,little sarary, many work,working under pressure and you dont appreciate what i do.kwa mfumo huo kufanikiwa itakuwa kazi hata kama mna mtaji wa matilioni,hata kama huna ajira thamini elimu uliyonayo mwamini mungu ipo siku utapata kazi kuliko kufanya kazi na hawa wavietnam,mtu anafiwa hamumpi ruhusa ya msiba eti mnataka atoe taarifa siku tatu kabla,(stupid), mshahara wenyewe mnaripa kama vibarua wakati watu wana elimu zao.mshahara laki4-tax 12%-insuarance10%=allowance ya mfanyakazi wa tigo,then hamjari utu wa mtu ndani ya nchi yake.Mpaka mwezi wa8 mliopanga kuoperate mtabaki nawasio jitambua na hizo probation zenu,after probation mnamtema mtu mnaajiri mwingine,mishahara mnatoa kama mkononi kama mmeajiri mafundi ujenzi(STUPID)
KAMA HAUTHAMINI GHARAMA YA ELIMU YAKO NENDA KAFANYE KAZI BUT USHAURI TRUST YOURSELF AND BE EXPENSIVE SOMETIMES.
mkuu ukiacha nijulishe ili nipeleke ka-CV kangu mahala hapo!
 
peleka usije ukachelewa wanatoka wengi sana tena kwa kasi ya 3.5G
 
Hamthamini utu wa mtu,little sarary, many work,working under pressure and you dont appreciate what i do.kwa mfumo huo kufanikiwa itakuwa kazi hata kama mna mtaji wa matilioni,hata kama huna ajira thamini elimu uliyonayo mwamini mungu ipo siku utapata kazi kuliko kufanya kazi na hawa wavietnam,mtu anafiwa hamumpi ruhusa ya msiba eti mnataka atoe taarifa siku tatu kabla,(stupid), mshahara wenyewe mnaripa kama vibarua wakati watu wana elimu zao.mshahara laki4-tax 12%-insuarance10%=allowance ya mfanyakazi wa tigo,then hamjari utu wa mtu ndani ya nchi yake.Mpaka mwezi wa8 mliopanga kuoperate mtabaki nawasio jitambua na hizo probation zenu,after probation mnamtema mtu mnaajiri mwingine,mishahara mnatoa kama mkononi kama mmeajiri mafundi ujenzi(STUPID)
KAMA HAUTHAMINI GHARAMA YA ELIMU YAKO NENDA KAFANYE KAZI BUT USHAURI TRUST YOURSELF AND BE EXPENSIVE SOMETIMES.

Wameletwa na Profesa aka Dokta hao!!
 
pole mkuu usiwe na jazba japo inauma. unajua hawa wa asia maisha kwao ni rahisi so wanatake advantage. kwa kweli mm nawasubiri waniite niliwapa cv yangu naona wameshtuka nitawapa makavu live
 
Hamthamini utu wa mtu,little sarary, many work,working under pressure and you dont appreciate what i do.kwa mfumo huo kufanikiwa itakuwa kazi hata kama mna mtaji wa matilioni,hata kama huna ajira thamini elimu uliyonayo mwamini mungu ipo siku utapata kazi kuliko kufanya kazi na hawa wavietnam,mtu anafiwa hamumpi ruhusa ya msiba eti mnataka atoe taarifa siku tatu kabla,(stupid), mshahara wenyewe mnaripa kama vibarua wakati watu wana elimu zao.mshahara laki4-tax 12%-insuarance10%=allowance ya mfanyakazi wa tigo,then hamjari utu wa mtu ndani ya nchi yake.Mpaka mwezi wa8 mliopanga kuoperate mtabaki nawasio jitambua na hizo probation zenu,after probation mnamtema mtu mnaajiri mwingine,mishahara mnatoa kama mkononi kama mmeajiri mafundi ujenzi(STUPID)
KAMA HAUTHAMINI GHARAMA YA ELIMU YAKO NENDA KAFANYE KAZI BUT USHAURI TRUST YOURSELF AND BE EXPENSIVE SOMETIMES.
Pole sana,You should have known them better.Soma hii post angalia niliandika nini na angalia Einstein aliandika nini,mimi nilizuia wasiweke site baada ya kuleta peas kidogo sana ukilinganisha na kampuni zingine.Kwa kifupi ni wabahiri.So if you are looking for a caring company,you are at the wrong company at the right time ,you need to find your people.
 
Hamthamini utu wa mtu,little sarary, many work,working under pressure and you dont appreciate what i do.kwa mfumo huo kufanikiwa itakuwa kazi hata kama mna mtaji wa matilioni,hata kama huna ajira thamini elimu uliyonayo mwamini mungu ipo siku utapata kazi kuliko kufanya kazi na hawa wavietnam,mtu anafiwa hamumpi ruhusa ya msiba eti mnataka atoe taarifa siku tatu kabla,(stupid), mshahara wenyewe mnaripa kama vibarua wakati watu wana elimu zao.mshahara laki4-tax 12%-insuarance10%=allowance ya mfanyakazi wa tigo,then hamjari utu wa mtu ndani ya nchi yake.Mpaka mwezi wa8 mliopanga kuoperate mtabaki nawasio jitambua na hizo probation zenu,after probation mnamtema mtu mnaajiri mwingine,mishahara mnatoa kama mkononi kama mmeajiri mafundi ujenzi(STUPID)
KAMA HAUTHAMINI GHARAMA YA ELIMU YAKO NENDA KAFANYE KAZI BUT USHAURI TRUST YOURSELF AND BE EXPENSIVE SOMETIMES.

Pole sana mkuu...one day utapata ur dream job. Mungu akutangulie. usikate tamaa
 
Nyambafu ka vp pita hivi… ukijiuliza unaenda wap?
 
cha muhimu hata kama ukiwa na uwezo wa kuendesha maisha binafsi ndani ya miaka miwili ni kuomba sehemu wanayo thamini taaluma na kwenda covolunteer maana ndivyo wanavyofanya wengine au kipindi upo chuo unaomba attachment sehemu yenye kuthamini elimu basii inatosha wewe kupata ajira hapo kama ukifanya kwa ubora wa hali ya juu.
 
Hamthamini utu wa mtu,little sarary, many work,working under pressure and you dont appreciate what i do.kwa mfumo huo kufanikiwa itakuwa kazi hata kama mna mtaji wa matilioni,hata kama huna ajira thamini elimu uliyonayo mwamini mungu ipo siku utapata kazi kuliko kufanya kazi na hawa wavietnam,mtu anafiwa hamumpi ruhusa ya msiba eti mnataka atoe taarifa siku tatu kabla,(stupid), mshahara wenyewe mnaripa kama vibarua wakati watu wana elimu zao.mshahara laki4-tax 12%-insuarance10%=allowance ya mfanyakazi wa tigo,then hamjari utu wa mtu ndani ya nchi yake.Mpaka mwezi wa8 mliopanga kuoperate mtabaki nawasio jitambua na hizo probation zenu,after probation mnamtema mtu mnaajiri mwingine,mishahara mnatoa kama mkononi kama mmeajiri mafundi ujenzi(STUPID)
KAMA HAUTHAMINI GHARAMA YA ELIMU YAKO NENDA KAFANYE KAZI BUT USHAURI TRUST YOURSELF AND BE EXPENSIVE
SOMETIMES.

Tupe kiwango cha elimu yako na uzoefu wa kazi tulimganishe
 
Sina kumbukumbu ni lini kichwani mwangu niliamini kua watu kutoka nje a.k.a wawekezaji wanakuja kumpa mtanzania wa kawaida nafuu ya maisha.
 
Back
Top Bottom