Viettel acheni kutudharau Watanzania

Viettel acheni kutudharau Watanzania

"Work hard to earn less" ndo kaulimbiu ya mabepari.
 
sasa kama ttcl haijafa kwa nini hawapo kabisa katika mawasiliano ya simu za mkononi? hujuma au nini?
TTCL sio kusema hawako kwenye mawasiliano ya simu za mkononi wapo ila technologia iliyokuwa inatumika ilikuwa ni ya CDMA ambapo kuna simu special ambazo zinasupport line zake ila hivi karibuni wamesain mkataba na Huawei technologies ili kuweza kulouch GSM ambapo line ya TTCL baada ya kukamilika kwa mradi itaweza kutumika katika simu za kawaida...sijua umenipata hapo mkuuu?
 
mfanyakazi mmoja wa TTCL alisikitika sana kulazimisha laini zao ziwe tofauti ili mteja akitaka mtandao wao alazimike kununua simu yao badala ya kuweka mitambo ambayo mteja ataweza kuweka line simu yoyote. HUJUMA

TTCL ipo katika hali mbaya sana biashara ambayo kidogo wapo ya intaneti tu, UHUJUMU UCHUMI.
 
Back
Top Bottom