Viettel acheni kutudharau Watanzania

Viettel acheni kutudharau Watanzania

Tupe kiwango cha elimu yako na uzoefu wa kazi tulimganishe

It doesn't matter kiwango cha elimu cha huyo unaemuuliza kwani wapo std 7 sehemu wanakula hela ndefu zaidi ya mshahara wa 400,000 aliyotaja huyo ndugu.
ISSUE HAPA NI UPUMBAVU ULIOPITILIZA WA HAWA WA VIETNAM.
MTU KAUGUA ANAKATWA MSHAHARA SIKU ALIZOUGUA.
MTU KAFIWA WANAKATA MSHAHARA ZIKU ALIZOKUWA MSIBANI.
SIKU ZA OFF HAULIPWI MSHAHARA. INAKERA SANA.
YAANI MISHAHARA UTADHANI WANAWALIPA VIBARUA!!

NA WALISHASEMA HAYA WANAYAFANYA MAKUSUDI KWA SABABU WANAOOMBA KAZI KILA SIKU KWAO NI WENGI SANA.

HII KAMPUNI NI YAKIPUMBAVU SANA.
 
Umeshajaribu kuwa mtu ambaye usipokuwepo mitambo yao haifanyi kazi halafu wakaendelea kukulipa mshahara uo huo? Hebu jaribu tuona halafu uposti tena matokeo yake. Usijaribu tu hiyo elimu au vyeti ambavyo wengi wanavyo, na ukileta zako watakutimua waite mwengine.

Nina wasiwasi mchango wako kwenye hiyo kampuni unaweza kupatikana kirahisi kwa mtu mwengine na hivyo huwezi kuwa na dhamani hiyo unayoitaka.

Bidhaa yeyote ambayo inapatikana kirahisi huwa na thamani ndogo. (ndo tofauti ya mchanga na dhahabu). Na wafanya biashara wa kweli hulijua hilo barabara. Viettel sio serikali (ya kijamaa), Ni kampuni la kibepari. Ni sharti moja kuu la biashara yeyote kujaribu kuuza kwa bei kubwa iwezekanavyo kwa garama ndogo iwezekanavyo, kwa lengo la kupata faida kubwa iwezekanavyo.

UKIWA CHEAP AND READILY AVAILABLE LABOR (that mean there is a lot like you in the market, you have no unique value), then you will be treated just like that.
 
Ngumu kumeza!!
 
Sasa nimeona nyingine hapa kama hiyo walikufukuza kwa sababu ya ujeuri, safari hii UJIPANGE, u apply tena. Sasa wanataka Cheif Technical and Depute Director huko Manyara. Ni kampuni iyo hiyo. Angalia hiyo link hapo chini. Apply kabla ya tarehe 16 mwezi huu. Siyo ujizungushe zungushe uchelewe halafu uanze kulalamika.

Halafu usiseme "WANAZARAU WATANZANIA" mimi pia ni mtanzania na fursa hiyo ya kunidharau hawana. Link hii hapa: Tuma application sasa hivi: Chief Technical and Deputy Director Job in Other, Tanzania

Pia angalia uandishi wako, kuna makosa mengi ya spelling, inawezekana ndo ugomvi wenu unaanzia hapo. Sasa andika hiyo application yako vizuuuuri, mpatie rafiki yako au shangazi, au ipost tu hapa tusaidiane kurekebisha spellings (na kuondoa maneno ya kijeuri kama yatakuwemo -maana najuwa umekasirika), enheeee.... alafu sasa tutume tena. Hayo yaliyopita tusahau sasa. Huu mwaka mwingine tuanze upya... enheeee... sawa baba? Kazi muhimu baba, kazi inaleta heshima, kazi inalipa kodi ya nyumba, kazi inashibisha tumbo, kazi ndo maisha baba... usiharibu kazi kwa ajili ya ujeuri.. ujeuri mbaya... hasa kwenye mali za watu... wenyewe wameweka hela zao humo hatujui hata wamezitoa wapi. Sasa sisi tusilete ujeuri eee baba.... mmmm vizuri.. Tuma maombi sasa hapo... ukiwa humo ndani ukaonesha juhudi... basi, mshahara utapanda... lakini sasa ukisusa ukawa nje hao jamaa hata haiwasumbui, kama ulivyosema mwenyewe wengi wanaomba kazi hapo, ukishawapa kisogo watakusahau saa iyo hiyo wataajiri mwengine, na wewe huku nje unavimba kwa hasira wenyewe hata wameshasahau. Na njaa inakuuma... kodi ya chumba ndo hivyo tena... kwa kweli utakuwa hujafanya vizuri. Ninakusauri uache ujeuri... uende tena pale... haya asante.
 
Wa Vietnam... Hata acting zao zilikuwa za kijinga sana...wakipogwa risasi lazima wakate viuno kwanza kabla ya kudondoka.

Tupunguze shobo na makampuni ya nje. Wapo wabongo kibao wasio na majina na waweza kuajiriwa au kuwa partner na ukakua imara na elimu yako.

Tuwe na msimamo.
 
Umeshajaribu kuwa mtu ambaye usipokuwepo mitambo yao haifanyi kazi halafu wakaendelea kukulipa mshahara uo huo? Hebu jaribu tuona halafu uposti tena matokeo yake. Usijaribu tu hiyo elimu au vyeti ambavyo wengi wanavyo, na ukileta zako watakutimua waite mwengine.

Nina wasiwasi mchango wako kwenye hiyo kampuni unaweza kupatikana kirahisi kwa mtu mwengine na hivyo huwezi kuwa na dhamani hiyo unayoitaka.

Bidhaa yeyote ambayo inapatikana kirahisi huwa na thamani ndogo. (ndo tofauti ya mchanga na dhahabu). Na wafanya biashara wa kweli hulijua hilo barabara. Viettel sio serikali (ya kijamaa), Ni kampuni la kibepari. Ni sharti moja kuu la biashara yeyote kujaribu kuuza kwa bei kubwa iwezekanavyo kwa garama ndogo iwezekanavyo, kwa lengo la kupata faida kubwa iwezekanavyo.

UKIWA CHEAP AND READILY AVAILABLE LABOR (that mean there is a lot like you in the market, you have no unique value), then you will be treated just like that.

Huu ni ukweli mchungu...

Watanzania hawapendi ukweli.. japo tunajua hali halisi...

wafanyakazi wa viettel mjipime wenyewe mpo kundi gani...
 
Wamekuja kishamba sana, hii ni kampuni ya Wizara ya Ulinzi/Jeshi Vietnam nadhani huko kwao watakua wanatumia ubabe zaidi kuliko uwezo.
 
Huu ni ukweli mchungu...

Watanzania hawapendi ukweli.. japo tunajua hali halisi...

wafanyakazi wa viettel mjipime wenyewe mpo kundi gani...
Mwanangu ukikubali ukweli huu utavuna kwa wakati wake. Ni mchungu tu mdomoni lakini ni mtamu kimaisha. Jouney to success starts only when you start being responsible for your own mediocre life. Hupewi mshahara mdogo kwa sababu ya ubahiri wa muajiri, bali unapewa mshahara mdogo kwa sababu inawezekana wewe kupewa huo mshahara mdogo.

Unaweza kupata malipo makubwa ikiwa UTAJITAHIDI kuwa unagombaniwa na waajiri. Lakini wakati bado wewe ndo unahangaika na vyeti, mshahara utaopewa utakuwa unakutosha. Hao jamaa hawalipi vyeti kama tulivyozoea hapa, wanalipa ujuzi na uzoefu.

Kule kwao pia watu tangu chuoni wanajua kuwa vyeti vyao vinapaswa kumaanisha kiwango cha ujuzi vinginevyo watatimuliwa tu. Hivyo husoma kwa bidii. Hapa kwetu watu hata project za chuo za kupata degree wanafanyiwa. Wanaamini vyeti ndo vinahitajika kazini badala ya ujuzi. Ukikutana na watu walioweka mitaji yao kufanya biashara hutoweza kuwaambia mambo vya vyeti wakati hata project yako ya shule ulifanyiwa. Na ndo maana unahangaika na vyeti. Maana ndo unavyovitegemea. Bepari analipa sawasawa na mchango wako. Na ndo siri ya maendeleo ya nchi zao. Wako hivi hawa hata huko kwao.
 
TUNASEMA WAMEKOSEA HILI AMA LILE. INGELIKUWA KWELI TUNA AKILI HIVI HATA KUSHAURI HAWA WAFANYABIASHARA AMBAO HAWAKUANZA LEO KAMPUNI ZAO, TUNGELISHAKUWA NA MAKAMPUNI YETU NA WASINGEWEZA KUJA KUFANYA BIASHARA HAPA.

Ikiwa umeshindwa kuanzisha hata genge, usifikiri unaweza kumshauri mtu mwenye kampuni kubwa ya miaka. Hujui hata ana mtaji kiwango gani, na bajeti yake ya mwaka huu ni ipi, na ana malengo gani kwa miaka hii mitano, utawezaje sasa kumshauri shughuli zake za uendeshaji? HAWAJAKOSEA, NI WEWE UNATAMANI ZAIDI YA MASTAHILI YAKO. Ukweli ni wazoefu hao na hiyo shughuli yao kiasi wanajua kila mtu wanayemuajiri ana thamani gani kwa mapato yao, na watakulipa accordingly.

Ikiwa wewe ni nusu-mungu kwa maendeleo ya kampuni yao, haitajalisha hata kama una funza miguuni, utalipwa sawa na umuhimu huo. Na ukiwa mtu tu wanayeweza kumbadili na mtu mwingine, you will also be paid low. USILALAMIKE UTAFIKIRI USIPOKUWEPO HAITAENDELEA. haitakusaidia. JIPE THAMANI KWANZA, KUWA MTU UNAYETAFUTWA, SIO UNAYETAFUTA. HILO NDO JIBU LA MSHAHARA MDOGO. Bahati nzuri huhitaji shule kuwa hivyo, unahitaji tu kuwa humo ndani, na umeshaingia kwa kuajiriwa nao.

Ajiri house girl tu ndo uone maana ya kulipa watu mishahara. Halafu ndo utajua.
 
nauliza kama wameishatoa nafasi za tawi lao linalotarajiwa kufunguliwa mwanza, kwa anaefahamu please
 
Ukipata Msiba utoe taarifa siku tatu kabla? Hata Ingekuwa Kampuni ya Lemutuz isingekuwa hivi bana.
 
nilisikia kuhusu hao jamaa ni kama wanajua mtakimbia kwahiyo mwanzoni kila anayeomba alipata kazi lakini mazingira ya kazi na mshahara kiduchu kila siku watu wanakimbia wenyewe na wanaobaki kwa kuvumilia ndio wanaendeleza shughulizi za hao jamaa.
TTCL ndio kwishney?
 
Boss punguza jazba kwanza,, pile sana ila si nasikia huko mnatafuta uzoefu tu?? Pambaneni bna hayo ndio maisha ,, ila kwa swala la kumnyima ruhusa mtu mwenye msiba kweli sio swala zuri kabisa. Poleni sana ,,,

Kabisaa
 
TUNASEMA WAMEKOSEA HILI AMA LILE. INGELIKUWA KWELI TUNA AKILI HIVI HATA KUSHAURI HAWA WAFANYABIASHARA AMBAO HAWAKUANZA LEO KAMPUNI ZAO, TUNGELISHAKUWA NA MAKAMPUNI YETU NA WASINGEWEZA KUJA KUFANYA BIASHARA HAPA.

Ikiwa umeshindwa kuanzisha hata genge, usifikiri unaweza kumshauri mtu mwenye kampuni kubwa ya miaka. Hujui hata ana mtaji kiwango gani, na bajeti yake ya mwaka huu ni ipi, na ana malengo gani kwa miaka hii mitano, utawezaje sasa kumshauri shughuli zake za uendeshaji? HAWAJAKOSEA, NI WEWE UNATAMANI ZAIDI YA MASTAHILI YAKO. Ukweli ni wazoefu hao na hiyo shughuli yao kiasi wanajua kila mtu wanayemuajiri ana thamani gani kwa mapato yao, na watakulipa accordingly.

Ikiwa wewe ni nusu-mungu kwa maendeleo ya kampuni yao, haitajalisha hata kama una funza miguuni, utalipwa sawa na umuhimu huo. Na ukiwa mtu tu wanayeweza kumbadili na mtu mwingine, you will also be paid low. USILALAMIKE UTAFIKIRI USIPOKUWEPO HAITAENDELEA. haitakusaidia. Da inaonesha kaku... maana umejirusha
 
Utadhani una hati miliki ya kuajiriwa na hao Viettel. Kama mshahara hautoshi ondoka... Tunalalama bure
 
Pole sana mkuu, nimeshawahi kufanyakazi na wachina wanatabia za manyanyaso kama hawa wavietnam! tatizo watz hatujitambui
 
Hawa jamaa ni washenzi namba 1,Sina ht nao walinitoa dar mpk babati for interview, halafu siku ya interview wamenikalisha frm morning till evening then wanakurupuka eti oral interview imaliziwe siku ya pili mkubwa kutoka, nikawaachia vumbi tu.
 
TUNASEMA WAMEKOSEA HILI AMA LILE. INGELIKUWA KWELI TUNA AKILI HIVI HATA KUSHAURI HAWA WAFANYABIASHARA AMBAO HAWAKUANZA LEO KAMPUNI ZAO, TUNGELISHAKUWA NA MAKAMPUNI YETU NA WASINGEWEZA KUJA KUFANYA BIASHARA HAPA.

Ikiwa umeshindwa kuanzisha hata genge, usifikiri unaweza kumshauri mtu mwenye kampuni kubwa ya miaka. Hujui hata ana mtaji kiwango gani, na bajeti yake ya mwaka huu ni ipi, na ana malengo gani kwa miaka hii mitano, utawezaje sasa kumshauri shughuli zake za uendeshaji? HAWAJAKOSEA, NI WEWE UNATAMANI ZAIDI YA MASTAHILI YAKO. Ukweli ni wazoefu hao na hiyo shughuli yao kiasi wanajua kila mtu wanayemuajiri ana thamani gani kwa mapato yao, na watakulipa accordingly.

Ikiwa wewe ni nusu-mungu kwa maendeleo ya kampuni yao, haitajalisha hata kama una funza miguuni, utalipwa sawa na umuhimu huo. Na ukiwa mtu tu wanayeweza kumbadili na mtu mwingine, you will also be paid low. USILALAMIKE UTAFIKIRI USIPOKUWEPO HAITAENDELEA. haitakusaidia. JIPE THAMANI KWANZA, KUWA MTU UNAYETAFUTWA, SIO UNAYETAFUTA. HILO NDO JIBU LA MSHAHARA MDOGO. Bahati nzuri huhitaji shule kuwa hivyo, unahitaji tu kuwa humo ndani, na umeshaingia kwa kuajiriwa nao.

Ajiri house girl tu ndo uone maana ya kulipa watu mishahara. Halafu ndo utajua.
Acha bla bla wewe kuna mambo unayoongea ya kweli kabisa ila hawa jamaa wabahiri sana me nakumbukuka nilipata kuwa nao siku moja wakati wa kutafuta maeneo ya kujenga site daaah yaaani wanalalia sana wenye plot na hata usafiri wa kuzunguka siku nzima wanamlalia mwenye gari kuwa isizidi elfu 70....we unaona wana maana hao..
 
nilisikia kuhusu hao jamaa ni kama wanajua mtakimbia kwahiyo mwanzoni kila anayeomba alipata kazi lakini mazingira ya kazi na mshahara kiduchu kila siku watu wanakimbia wenyewe na wanaobaki kwa kuvumilia ndio wanaendeleza shughulizi za hao jamaa.
TTCL ndio kwishney?
Unavyosema TTCL kwishney kuna mtu kakukaririsha(umemeza) au unakifahamu unachokiogea?jitambue
 
sasa kama ttcl haijafa kwa nini hawapo kabisa katika mawasiliano ya simu za mkononi? hujuma au nini?
 
Back
Top Bottom