vidume vya mbegu

Maigizo hayo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
hahahaaa, kweli vidume vya mbegu, tatizo ni MBEGU GANI??

aisee
 
Mbona huyo mmoja kavaa bikini?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nahisi pichaduka hivyo vichwa!
Lakini hao jamaa hawana hata grammu moja ya mafuta! Ukimkimbiza aweza kufyatuka kama risasi.
 
mazingira kama ya chuo na kwa mbali naona kama swimming pool! halafu hao mbona kama mateja?
 
mazingira kama ya chuo na kwa mbali naona kama swimming pool! halafu hao mbona kama mateja?

Hawa wakipewa Mama Mingoi dakika 120 hawawezi mfanya hata yule Mama agune kwa raha au karaha!

Afya mbovu hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…