My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Mara ya kwanza nilichanganyikiwa kabisa baada ya nguvu zangu za kiume kutoweka ghafla, yaani Uume wangu ulikuwa unasinyaa hata ukiwa ndani ya K, na nilipata tabu sana kusimamisha.
Kumbe mchawi wangu alikuwa ni vidonda vya Tumbo, nakumbuka niliugua hadi mwili ukaishiwa nguvu baada ya Check up ndo nikaambiwa kuwa nina Stomach Ulcers.
Baada ya matatibu ya vidonda vya tumbo nguvu zangu zimerudi kama kawaida yaani.
Kama una vidonda vya Tumbo, weka akili kuwa na nguvu za kiume zitapungua.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app