Vidonda vya koo vinanitesa

we mpe ushauri apone huu siyo muda wa kulaumiana tatizo limeshatokea.
 
Aiseee changamka Kaka siku cancer zinaanzaga hivyo hadi zinatapakaa fanya haraka
 
Sidhani kama ndio sababu maana sijazama chumvini mda mrefu
Oky kumbe ulishawahi zama chumvini ila kwa hivi karibuni ndio hujazama....nenda hospital waeleze kuwa wew ulishawahi zama chumvin dawa yake ipo
 
Nadhani umetumia dawa isiyo sahihi ndio mana imechukua muda mrefu hivyo.
Ni vyema ukapimwa kwanza ili kujua sababu ndipo upewe tiba, haya madawa nayo ukila mengi unaweza jikuta unaongeza tatizo badala ya kutatua.
 
Naelewa mkuu lkn yote nikatika hali yakutafuta Dawa itakayo nisaidia maana napata shida sana
 
Jaribu kutafuna kipande kidogo cha tangawizi kwa siku mara tatu asubuhi, mchana na usiku kabla ya kulala.

NB;hii ndiyo dawa ambayo huwa inaniponesha.
 
mkuu kulingana na maelezo yako hapo juu nimekusoma ila sijaelewa rational behind combination ya septrin + azithromycin ,sijui what do you target ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…