Vidokezo 15 vya kutilia maanani unapobusu

Kiluuj

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
692
277
1. Piga mswaki, oga vizuri uondoe shombo.

2. Wanaume, nyoa ndevu vizuri.

3. Lowesha mdomo usiwe mkavu. Pitisha ulimi kidogo.

4. Kuwa mahali sawa.

5. Mshike mwenzio mabega, shingo kwa ulaini si umchubue ngozi.

6. Sogeza uso taratibu usimzibe pua.

NB: Mume ainue uso kidogo.

7. Funga macho kabla ya midomo kukutana.

8. Endeleni kubusiana pole pole

NB: Komaa busu la midomo iliyofungika, ndipo ukomae kwa la nyama kwa nyama, kabla ya kujitomasa kwenye mikongo ya mabusu moto moto.

9. Akifungua mdomo kidogo, anza kutomasa ulimi wake naye augune wako.

10. Anza kuunyonya ulimi polepole ukiongeza kasi kulingana na mapokezi yake.

11. Meza mate yako. Using'ang'anie kumeza mdomo wote wa mwenzio. Zingatia eneo la
mbele la mdomo na ulimi. Usimzibe kinywa.

12. Usimng'ate mwenzio

13. Usizungushe ulimi na kupekecha kama ambae unatoboa njia!

14. Hema kwa kutumia pua sio mdomo.

NB. Wanawake hupenda wanapobusiwa mwanaume atoe angalau kijisauti. Kama mmmm....kwa laini ila usizidishe.

15. Msibusiane hadharani, hapa ni AFRIKA.
 
Usimng'ate mwenzio
 
Wanawake wanapenda wanaume wenye ndevu...unakuwa na kidevu hakina ndevu wewe umekuwa wa kike sheikh?
 
Kigezo muhimu cha 16 ulichokisahau, siku iwe imeenda vizuri mfukoni kuna chochote kitu vinginevyo hayo yote ni karaha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom