Videos & Audio production special thread (Softwares)

Kwa swali lolote kuhusu Audio production wawezaniuliza...
Nahitaji kutengeneza group ktk Studio One,ili nikitia effect,iingie kwenye track zote zilizopo kwenye hiyo Group. Msaada plz
 
Nahitaji kutengeneza group ktk Studio One,ili nikitia effect,iingie kwenye track zote zilizopo kwenye hiyo Group. Msaada plz
japo sijawah kutumia,je unavofungua new project hizo track unazi add manual au zinakuwepo automatic? kama ni manual jaribu kuchek kama kuna option ya ku add group track.
 
Unazo genuine au umedownload tu online uka burn ?
maana hapo sample kit karibia zote zinapatikana online
 
Kujua key ndio mwanzo muhimu, na ndio hasara mojawapo niliyoiona mimi kukataa kwenda kanisani lakini nilishakubali kuwa hivi ndivyo nilivyo.
napiga chops, natembea na keys chache hizi hizi zitanifikisha, n thanks coz huwezi nyimwa vyote, ila piano soon inanata coz i know how to pros n cons.
 

Hapo freshi. Ningekutumia mikono yangu kama sample ila humu zinazingua ku upload.
 
Gys tuform watsapp grp,, kuna mengi tunaeza saidiana tukaipush Tz yetu internationally.

Tudondoshe number za sim tue tunapeana updates.

Tafadhalin wazey.
 
Njoo tujadiri kuhusu software za
1:Videos editing
2:Audio editing
4:Script/screen play
na technology zinazo husu Multimedia production
uliza swali
NAOMBA MWENYE MIC NAYOWEZA REKODIA VIDEO ZA KUTANGAZA ANICHEKI 0674179570
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…