Uzi mzuri sana ningependa kumpongeza aliyeuleta. Naomba kujua format nzuri ya kurenda kwenye Vegas 12. Ili kupunguza size za clip.
Maana kila nikirenda kupata AVI unakuta size ya video ni kubwa mno na kwa mp4 ndio usiseme.
Au kuna application maalumu ya kupunguza size lakini quality ikabaki ile ile?.
jaman nauliza ni program ya kuingiza audio kwnye beat iliyonzuri na nyepesi kwa mim beginner, nimeanza kupga beat daily tangu mwaka juzi, lakn ninauwoga wa kuzitumia hzo cubase,
Hivi ukiacha monitor speakers zinazotumika studio ku-balance music ni speaker gani nzuri mtu anaweza kutumia na zikatoa matokeo mazuri japo kwa kuanzia tu kwa home for practice. Ila isiwe subwoofer plz.