Cantona fundi mkuu
JF-Expert Member
- May 21, 2023
- 294
- 313
Habari nitumie namba yako pm nitakucheki.Wakuu..
Km kuna boss anaofisi ya photo na video production na anahitaji mfanya kazi.
Mm nipo naomba unipatie iyo kazi..
Na uzoefu wa Zaid ya miaka 5 kwny production..
Nipo Dar mbagala [emoji120][emoji120]
Seriously.Jiajiri
Vifaa vya production ni gharama Sana ndugu ndomana tunashindwa kujiajirJiajiri
[emoji120][emoji120] sawa..Utapata halafu weka pia na social media zingine
Ni kwel mkuu Ila ili upate contents za kupost mtangaon ni lazma upate vifaaSeriously.
Kua mwanamitandao, kama unajua editing, storytelling na pacing unaweza. Youtube, tiktok kuna mawe mzee.
Ngoja tuwasubiri[emoji120][emoji120][emoji120]Ngoja waje kukupa muongozo...
nipe mchanganuo wa vifaa vya productio kuanzia camera na kila kituVifaa vya production ni gharama Sana ndugu ndomana tunashindwa kujiajir
Anza kidogo kidogo hata na simu....watu wataona kazi zakoVifaa vya production ni gharama Sana ndugu ndomana tunashindwa kujiajir
Sawa [emoji120]Habari nitumie namba yako pm nitakucheki.
Wazo zuri ntalifanyia kazi pia [emoji120]Kila la kheri. Kama una PC tengeneza tangazo zuri kuwa unafanya hivyo vitu then utanza kwa kukodi vifaa na kwenda site na mwenye vifaa. Lakini hakikisha wewe unakuwa kiherehere kama yule wa jeshi ili utengeneze network ya wateja wako.
Sent using Jamii Forums mobile app