video

Richbest

Senior Member
May 23, 2011
101
24
Habari wadau ninashindwa kutazama video kwenye pc huwa ina play kidogo halafu inasimama je tatizo ni nini?naomba msaada tafadhali
 
Andika heading ya thread yako vizuri. Kuandika tuu "video" ndio nini kama si kutaka watu wairuke thread thread kwa kudhani ni zile zile ambazo hazina mpango? Pia kwenye maelezo yako fafanua unatumia PC ya aina gani, unatumia Operating system ipi, kama unashindwa kuangalia video za kwenye internet au zilizomo kwenye hiyo PC, unaangalia video za kwenye internet speed ya connection yako ikoje na unatumia browser ipi, kama unaangalia video zilizomp kwenye PC unatumia video player ipi, n.k
 
yap nakubaliana na wewe EMT maana maelezo ya mwenye tatizo hayajitoshelezi na pia ni ngum kujua starting point ktk kusolve tatizo
 
Naongelea video za kwenye intanet natumia internet explorer na mozila natumia dell khs speed unaongelea ya modem au ipi? ni window 7
 
Speed ya internet yako. Website zipi video zinakataa kupiga?
Ume-install adobe flash player? Adobe - Install Adobe Flash Player
Pia jaribu kutumia chrome kama zitapiga. https://www.google.com/chrome

lakini processor na RAM za pc zina ukubwa gani?
Kwa nyongeza ya yote haya, download real player kwanza, then nenda kwenye hiyo video, right-click, chagua download to real player. Ofcourse itachukua muda kudownload kutegemea na speed ya internet na capacity ya pc yako, lakini ikikamilika utaplay bila shida, even kusave. Ni vyema pia ukawa na free dowload manager.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom