angekua ni kiungo cha ubishi gentleman,
Rais ameshatoa maagizo na maelekezo muhimu sana kwa kamati ya maafa Kitaifa kama ambavyo pia hufanya vivyo hivyo kwenye ajali na maafa mengineyo nchini.
Kumbuka,
Kamati ya maafa Kitaifa inaongozwa na Kasimu Majaliwa, waziri Mkuu ambae yuko field kupitia vyombo vya ulinzi na usalama..
huku kazi ya uokozi ambayo inafanyika kwa umakini mkubwa ikiendelea kufanyika kwa weledi na bidii sana.
Mola atujaalie subra na wepesi katika kufikia hitimisho jema juu ya jambo hili.
Vyovyote itakavyokua, kama Taifa lazima tusonge mbele pamoja 🐒
Kazi yao kukusanya fedha tu
Oxygen na glucose vimefikaje huko chini. Hizi hesabu zijazielewa bado
Una akili za fenesi au maji ya nazi?vyombo vya ulinzi na usalama, kamati ya maafa ya kitaifa na wananchi wa eneo la kariokoo, wanaendelea kufanya kazi nzuri na kwa weledi mkubwa licha ya ugumu na hatari ya kazi yenyewe ya uokoaji.
Mwenyezi Mungu afanye wepesi zaidi 🐒
Sawa wasalimie huko Sao Paulo na Acapulco bay.Yes,
Maelekezo ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa kamati ya maafa ya kitaifa na mkoa yamechochea kwa kiasi kikubwa shughuli ya uokozi.
Mh.Rais aliamrisha na kuelekeza kwamba, vyombo vyote vya ulinzi na usalama pamoja na wataalamu wao vilekee eneo la tukio.
Nadhani sote ni mashuhuda wa kazi nzuri iliyofanywa kwa amri ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan.
Tunamtakia safari njema nasi kama taifa tutaendelea kutekeleza maelekezo yake na kuhakikisha wale wote walioko chini ya kifusi, kwa Neema na Baraka za Mungu, wanapatikana wakiwa hai 🐒
Nenda pale kwenye uokozi ulete huo uchawa wako, hakyanani unaliwa mande kijana, nyie toeni pongezi humuhumu na kwenye mikutano yenu ile ya kipigaji ama lah jihakikishie ulinzi kabla hujaropoka uharo.Gentleman,
hata wewe kipara chako chenye ukaidi wa kinyumbu si kwenye avatar tu lakini mtaani ni full mvi, right?🐒
Nchi Ina viongozi wapumbavu kweli kweliOxygen na glucose vimefikaje huko chini. Hizi hesabu zijazielewa bado
HEwa na faraja ndio jambo la msingiKamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji CGF John Masunga, amesema bado kuna mawasiliano kati ya Jeshi hilo na Watu walionasa chini ya jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo jijini Dar es salaam.
CGF Masunga ameyasema hayo mbele ya Waandishi wa Habari asubuhi hii ambapo pamoja na kufanikiwa kuwapatia hewa ya oxygen, amesema tayari wamewapelekea Watu hao maji pamoja na glucose.
“Bado kuna Watu wako chini na mawasiliano yanafanyika na Watu hao ni wazima, tumefanikiwa kuwapatia maji, glucose pamoja na kuwapa faraja kwamba Vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama vipo hapa na tutahakikisha wanatoka wakiwa wazima, tumefarijika sana kwasababu tumeweza kuwapatia hizo huduma wakiwa ndani ya shimo lakini pia tumeweza kuwasiliana nao, huduma ya uokoaji inaendelea”
“Mpaka sasa Majeruhi kadhaa wameendelea kupatikana kutoka kwenye basement ya jengo na wamepelekwa Hospitali kwa ajili ya huduma, Vikosi vya Uokoaji vipo imara kuhakikisha kwamba Ndugu zetu waliochini kwenye kifusi wanapatikana wakiwa salama, tuna vifaa vya kutosha...” ——— CGF John Masunga. #MillardAyoUView attachment 3154457PDATES
Hivi unataka nini??? Pumbavu kabisa!Yes,
Maelekezo ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa kamati ya maafa ya kitaifa na mkoa yamechochea kwa kiasi kikubwa shughuli ya uokozi.
Mh.Rais aliamrisha na kuelekeza kwamba, vyombo vyote vya ulinzi na usalama pamoja na wataalamu wao vilekee eneo la tukio.
Nadhani sote ni mashuhuda wa kazi nzuri iliyofanywa kwa amri ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan.
Tunamtakia safari njema nasi kama taifa tutaendelea kutekeleza maelekezo yake na kuhakikisha wale wote walioko chini ya kifusi, kwa Neema na Baraka za Mungu, wanapatikana wakiwa hai 🐒
Tungemlaumu vilevile kwa selikari yake kuto zingatia sheria ya ujenzi na kusababisha ghorofa kuanguka,sisi watanzania tumelogwa siyo bure yaani ni ujiunga ujinga tu wa kusifia