Video za mazoezi

JUNIOR GONG

Member
Jun 29, 2014
56
21
Habari zenu wakuu
Naomba kwa mtu yeyote mwenye video za mazoezi naomba anitumie, nafanya mazoezi kila asubuhi kama nitapata video za mazoezi mbalimbali itakuwa vyema.
Jioni njema
 
mimi mwenyewe nataka nikate kitambi niko na marafiki zangu hawa
FB_IMG_1453368014773.jpg

swissme
 
Back
Top Bottom