Video: Yaliyojiri katika shambulio la westgate

Video: Yaliyojiri katika shambulio la westgate

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,932
Video hii ya KTN inazua maswali kuhusu idadi ya magaidi, kutoroka kwao na utendaji wa vyombo vya usalama vya Kenya katika tukio hilo zima.
[video=youtube_share;7Ptpr8XMM_c]http://youtu.be/7Ptpr8XMM_c[/video]​
 
Mkuu asante kuiweka humu jamvini. Binafsi nilijiuliza mengi sana na niliamini tangu mwanzo kuwa serikali ya Kenya ilichemsha kwa namna ilivyoshindwa kupambana na ugaidi ule. Ninaamini magaidi waliweza kutoka na inatisha kufikiri namna gani hata Tanzania inaweza kutokea na wakasepa vilevile. Tumeshindwa mpaka leo kuwakamata na kuwadhibiti watu wanaofanya mauaji ya kinyama Olasiti, Arusha kwenye kampeni, watu wanaowamwagia watu tindikali n.k. Likitokea janga kama la Westgate si ndio basi tena? Inasikitisha na kufedhehesha kama taifa kwa jinsi tulivyoharibikiwa. Usalama wa Taifa hakuna kitu!
 
Back
Top Bottom