Video Ya Wimbo Wa Ujanja Ujanja Young D Imetengenezwa Wap

Video Ya Wimbo Wa Ujanja Ujanja Young D Imetengenezwa Wap

mt.j

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2014
Posts
284
Reaction score
282
Naombwa Kujuzwa Kwa Anay Faham Hyo Video Imetengenezwa Wap ,ntashukur Kwa Msaada Huo
 
Kwakweli sijui ila ni location kali kimtindo, ila rangi haijatoka fresh, pia ilitumika ktk wimbo wa binti chemical na single ya sielewi, hapo ilionekana poa sana
 
Kuna mtu alinambia eti ni mtwara,zile ni kota za wafanyakazi wa dangote....sasa sijui ni kweli au kanipiga kamba
 
Back
Top Bottom