Kijana Mpererez
Member
- May 29, 2022
- 51
- 100
Tumia browsers usitumie AppKwangu video na picha za jf mbona hazifunguki?
Mdada alielewa kinachoendelea na alikifurahia ndo maana akatoa na huo ushirikiano wa kimtindoKwahiyo, hebu niulize kwanza, aliinama vile ili iweje?
"Eeeh Dunia, Dunia Eeh Mbona hupendi watoto" Wimbo wangu bora kabisa kati ya nyimbo za Kikatoliki.Kuna choir ya kikatoliki inaimba dunia hupendi watoto. .
Kizazi cha watu wasio na maadili kabisa cha kushangaza michezo hii kwa wabambiaji wanawafanyia wanafunzi mpaka wanaume, upuuzi mtupu. .
Siyo kwako tu, ni kwa wengi tunaotumia App @mods wafanyie kazi hii kitu.