Video ya uchi ya binti yule imenikasirisha.

Video ya uchi ya binti yule imenikasirisha.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,849
Leo kuna mtu kanitumia video ya binti akicheza wimbo wa yamoto akiwa uchi huku akirekodiwa na mpenzi wake, binti alishtuka akamwambia mpenzi wake anamrekodi jamaa akasema ni kwa ajili yake
Nimetafakari na kujiuliza hivi nyie wadada hao wanaume wanaowarekodi na kusambaza video zenu mnawatoa wapi? hivi kwanini msidate na wanaume baadala ya hivyo vivulana vilivyokasa maadili.
 
Mkuu hawa hawajifunzi, hata yule mke wa mtu Arusha alirecordiwa akijijua na mchepuko wake, penzi lilipoisha video mitaani eti anajiua, kwanini asikatae kurecodiwa? Japo jamaa nae akiri hana.
 
Na yule msanii aliemrikodi msichana wake halafu picha iliposambaa on air eti simu iliibwa ndio zikavuja
 
kwani kuna tatizo gani... wamekurecord wewe!?? watu wanaenjoy kuonyesha walichojaariwa, mtoto kafungasha ka yule kwanini asijitangaze
 
Mkuu hawa hawajifunzi, hata yule mke wa mtu Arusha alirecordiwa akijijua na mchepuko wake, penzi lilipoisha video mitaani eti anajiua, kwanini asikatae kurecodiwa? Japo jamaa nae akiri hana.

duh hiyo ya mke wa mtu na mchepuko sikuipata!!
 
Ilizagaa sana jamaa alikiwa anagegeda ofisini kwa demu CRDB
 
kwani kuna tatizo gani... wamekurecord wewe!?? watu wanaenjoy kuonyesha walichojaariwa, mtoto kafungasha ka yule kwanini asijitangaze

daah mkuu, serious unauliza hivyo!!
 
Waache warekodiwe tu na zisambazwe watu gani hawatak kubadilika, wewe uko na mpenzi wako unakuta badala kushughulikiana yeye anahamgaika na simu bado unakodoa macho tuuuu nahisi wengine wanasema wenyewe wakiona zimesambaa sana ndo wanajishauaa
 
Kwa akili za wanawake...ukute jamaa kajieleza wameelewana na sasa hivi anarekodiwa nyingine....jamaa ana pesa yaniii....

We endelea kuumia roho...
 
Wanapenda wenyewe mjomba wangapi wanaliwa hata muda huu wanaahughulika kila mahali ila sio wote kesho utaona still pic na video ila hao wanaopenda izo mambo wataedelea kukuudhi sana na nahisi bado hujachukizwa.wenyewe wanasema Time will tell
 
Back
Top Bottom