Video ya sophia@ben pol mnaichukuliaje

Imetulia sana!
Tena imependaza zaidi alivyoshow love kwa kumuweka modo albino!

Keep it up Ben Pol! Sophia ni wimbo bora wa mwaka huu, hilo linathibitishwa baada ya kurudiwa na wasanii wanne tofauti!
 
Imetulia sana!
Tena imependaza zaidi alivyoshow love kwa kumuweka modo albino!

Keep it up Ben Pol! Sophia ni wimbo bora wa mwaka huu, hilo linathibitishwa baada ya kurudiwa na wasanii wanne tofauti!
mkuu wasanii gan wameurudia
 
Not good enough. SOPHIA is so far the biggest song of his career lakini he took a huge gamble in the video. Good but not good enough
 
nimeiona ila kwa anayejua ubora wa video hawezi sema ile video ni nzuri wala mbaya. kimsingi ajipange afanye video nyingine. ikiwezekana hata nje ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…