Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,611
watanzania ni watu wenye upendo sana, vinginevyo yangesha tokea yaliyotokea nchi zingine, ninachokiona ni kwamba Mungu ameamua kutusaidia kwa; sasa kutuonesha matukio live, na ataendelea kufanya hivyo mpaka ccm watakapo kosa visingizio na kuamua kujiuzulu wenyewe.