Video ya kwa babu loliondo

Video ya kwa babu loliondo

Hii video mbona kama imetengenezwa na wakenya wakati haya matukio yanaendelea tanzania?
 
Shukrani mkuuu kwa hii video !!
Keep it up !
 
Branjames11, Sababu ndugu zako wa kitanzania ni wavivu wa kutafuta vyanzo vya matukio labda yawe sehemu ambayo ni rahisi sana kufika na sio wahangaikaji kutafuta habari kwani wamezoea habari za kuchakachua ambazo zilisha tengenezwa na wengine.
 
Hii video mbona kama imetengenezwa na wakenya wakati haya matukio yanaendelea tanzania?

Unashangaa hii wewe subiri Hollywood watakavyoigiza move ya babu wakati akina Kanumba wapo tu jiji Dar, wanavinjari na dada zetu, huku wakijifanya mastaa wa move wakati ubunifu 'F'
 
Hii ndiyo video most elaborative niliyoipata kuiona!
Wakenya wametuzidi kila idara...Ona jinsi waliovoiweka kwa details!
 
Back
Top Bottom