Video: Watoto waliopelekwa karimjee kujaza nafasi alfajiriiiiiii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Video: Watoto waliopelekwa karimjee kujaza nafasi alfajiriiiiiii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Narubongo, Apr 10, 2011.

 1. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
 2. Wed

  Wed JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 60
  Yaani siamini vile : Tendo la Kukodi vijana ili kuzomea shuguli muhimu kama ya katiba, huu ni uhaini hii ni aibu kubwa kwa Taifa !. Kitendo hiki kinapaswa kilaaniwe kwa nguvu zote. Huu ni zaidi ya uhuni wa kisiasa. Ni uuwaji wa makusudi wa mchakato mzima wa Katiba ambayo ni moyo wa nchi yoyote ile duniani !! Kama sasa CCM inakufa, isipende kutuingiza kwenye vita na vifo Tanzania !!!

  cCM imechoka,
   
Loading...