PostGE2025 Video: Wananchi wakiimba 'hakuna muuaji kama Samia, hakuna na hata kuwepo'

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Ni sauti za Watanzania walioko katika majonzi na hasira, wakiimba kwa uchungu wimbo maarufu wa “Hakuna Mungu Kama Wewe”, lakini wakiwa wameubadilisha na kuimba, “Hakuna muuaji kama Samia, hakuna na hata kuwepo.” Ukijaribu kuvaa viatu vya akina mama hawa, unaweza kuhisi uzito wa maumivu na hasira wanazobeba ndani yao.

Kwa hali hii, huwezi kusema tatizo litamalizwa kwa maneno matamu au wito wa maridhiano pekee. Watanzania wanahitaji kuona hatua za kweli wauaji wa raia wakifikishwa mbele ya sheria, na viongozi wanaohusika wakijitokeza kuwajibika au hata kujiuzulu. Hapo ndipo hasira na maumivu ya wananchi yanaweza kuanza kutulia, na si kwa maneno ya kisiasa yasiyo na vitendo.
 
Wamesahau iddi amini akifa mimi siwezi kulia
 
Maza alifikiri anaweza kufanya tu kama Watangulixi wake na mambo yakawa sawa tu. Kitu ambacho alisahau ni kuwa kila kitu kina mwisho wake.

Ajishushe tu aombe msamaha hadharani. Ruto aliomba msamaha hadharani na hiyo ndiyo ilikuwa pong yake.

Kwa jinsi ilivyo sasa iwapo hawatakuja na suluhisho mapema basi wajiande kuua zaidi.
 
Back
Top Bottom